Thursday, June 1, 2017

ukweli ni kwamba simba haijatuma barua yoyote tff  ya kukata rufaa kwahiyo yanga ni mambigwa tena kwa Mara nyigine

Sunday, May 28, 2017

Mfano wa kuandika: Hapa andika kicha cha habari

Hapa ndipo unaandika habari yako, mfano kuku wa kienyeji ni mradi mzuri sana. Unaweza kuanzisha mradi huu hata ukiwa na mtaji kidogo sana.

anza leo kufuga kuku wa kienyeji ili upate pesa za kujikimu.

Friday, May 26, 2017

karibu isaacmahabari blog

Ndugu msomaji wa makala hii fupi nakukaribisha kwenye blog hii ambayo itakuwa inakupa habari mbalimbali na makala za jinsi ya kujiajiri kwa kwa kuanzisha biashara. Mafunzo haya ni bure tembelea blog hii kila siku uweze kujifunza vitu vipya na mbinu mpya za kutajika kwa kuanzisha biashara yako Ukihitaji blog kama hii iwe yako unaweza kuipata kwa shilingi elfu 15 tu. Nunua blog kama hii iwe yako. Kama unataka kununua blog kama hii njoo www.millionairebloggers.com kisha andika post moja ukionesha nia ya kununua blog kama hii hapo hapo mhusika atakujibu kwa kukupa namba ya kutuma pesa ili upewe blog hii. Karibu sana

ukweli ni kwamba simba haijatuma barua yoyote tff  ya kukata rufaa kwahiyo yanga ni mambigwa tena kwa Mara nyigine